Tangazo la Kusaini fedha ya Chakula na Malazi (BOOM)

Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe (MUSO) inawatangazia wanafunzi wote ambao ni wanufaika wa mikopo kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) walioko muhula wa kuseptua (staggered)kuwa, zoezi la kusaini fedha za chakula na malazi (boom) litafanyika bohari siku ya Jumanne tu tarehe 31/07/2018 kuanzia saa 09:00 Asubuhi mpaka saa 16:00 Jioni, na hakutakua na muda wa nyongeza.

Pia wale wote ambao wamefanya maombi ya mikopo mwaka huu nao wanatakiwa kufika bohari kwa ajili ya kuorodhesha majina yao ili yaweze kutumwa bodi ya Mikopo (HESLB).

MUHIMU: Tafadhali Unakumbushwa kufika kwa wakati ukiwa na  kalamu pamoja na kitambulisho chako (University Id) ili kuepusha usumbufu usiokuwa wa lazima.

UPATAPO UJUMBE HUU, MTAARIFU NA MWENZAKO

USISAHAU KUTUTEMBELEA KWENYE MITANDAO YETU YA KIJAMII  twitter @mzumbe _media, Instagram @mzumbe_media, Facebook – Mzumbe Media

 

………………………..

Alphonsina S. Ambrosi

Katibu Mkuu-MUSO – 0756-719-469

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *