Uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa Chuo Kikuu Mzumbe

Serikali ya Wanafunzi (MUSO) kupitia Wizara ya Habari, Teknolojia na Mawasiliano Chuo Kikuu Mzumbe inapenda kuwataarifu wanafunzi wote kuwa zoezi la kujiandikisha kwa ajili ya kupata vitambulisho vya taifa (National ID) linaendelea katika eneo la mahafali maarufu kama Nakutunuku, hivyo wizara inawasihi wanafunzi wote ambao bado      hawajajiandikisha kwa ajili ya kupata vitambulisho hivyo wajongee katika eneo tajwa hapo juu kwa ajili ya kujiandikisha.

 

Wizara inawatakia wanafunzi wote maandalizi mema ya mitihani

 

UPATAPO UJUMBE HUU, MTAARIFU NA MWENZAKO

USISAHAU KUTUTEMBELEA KWENYE MITANDAO YETU YA KIJAMII  twitter @mzumbe _media, Instagram @mzumbe_media, Facebook – Mzumbe Media

 

………………………..

Justine Kemhe

Wizara ya Habari, Teknolojia na Mawasiliano – 0767 050 930

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *