Majina ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo kikuu Mzumbe waliopata mikopo kutoka Heslb

Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe (MUSO) kupitia wizara ya habari, Teknolojia na mawasiliano inapenda kuwafahamisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na masomo ya elimu ya juu Chuo Kikuu Mzumbe kwa mwaka wa masomo 2018/2019 ambao waliomba maombi ya kupatiwa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kuwa majina ya awamu ya kwanza yameshatoka hivyo ni muhimu kila mwanafunzi akayaangalia kabla hajafanya malipo ya ada.

Aidha, MUSO  inawakaribisha kwa furaha wanafunzi wote ambao wamechaguliwa kujiunga na masomo chuo Kikuu Mzumbe kwa mwaka huu (2018/2019).

BOFYA HAPA KUONA ORODHA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *