Majina ya wanafunzi waliopata nafasi za Field katika Taasisi mbalimbali – Chuo kikuu Mzumbe

Serikali ya wanafunzi Chuo kikuu Mzumbe inapenda kuwatangazia wanafunzi wote ambao wanatarajia kuanza mafunzo kwa vitendo (Field) katika kipindi hichi cha mwezi October 2018 kuwa kwa wale ambao walikua wameomba nafasi hizo kupitia uongozi wa chuo yaani ofisi ya Field studies majina yao yametoka hivyo wanakumbushwa ya kwamba majina hayo yametoka tena hivyo ni vema wakayapititia na kujiridhisha na nafasi zao.

Pakua Document hapo chini ili kusoma majina hayo.

Bofya hapa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *