KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE CHUO KIKUU MZUMBE 2018

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano J. M. Kusiluka anayo furaha kuwakaribisha wananchi, viongozi, wanataaluma, wanachuo na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Mzumbe kwenye Kongamano la  kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, litakalofanyika tarehe 14 Novemba 2018, Kampasi Kuu, Morogoro kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 8:00 mchana katika Ukumbi wa Samora.

Kujua Mada kuu katika kongamano hili ni na watoa mada,Bofya hapa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *