Pakua majina ya wanafunzi ambao wameshindwa kupata mkopo kwa kutokamilisha vitu mbalimbali First year Mzumbe..

Serikali ya Wanafunzi (MUSO) kupitia wizara ya Mikopo chuo kikuu mzumbe inapenda kuwatangazia Wanufaika wa mikopo (First Year) kutoka Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kuwa kuna majina ambayo yapo kwenye mbao za Matangazo pia kupitia Mitandao yetu ya kijamii au tembelea muso.mzumbe.ac.tz, Kama ukiona Jina lako unatakiwa kupeleka kopi za Document kwa Afsa mikopo(Bohari) ziwe Certified na Mwanasheria. Document hizo hazikuonekana HESLB kupelekea kushindwa kupata mkopo japo unasifa na vigezo vya kupata mkopo. Document husika zimetajwa kwenye Colomn yenye Jina “Verification item” kabidhi izo document kuanzia leo hadi Kesho.

click link apo chini kuona hayo majina

FRESHERS MISSING INFORM. 2018 19

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *