Tangazo muhimu kwa wanufaika wa mikopo kutoka bodi ya mikopo (HESLB) wanaoendelea na masomo

Wizara ya mikopo chuo kikuu mzumbe inawatangazia wanufaika wote kuwa waangalie document hii kwa kutumia Kompyuta (parsonal computer) au simu janja (Smartphone) yenye programu ya WPS kama hauna programu hii ipakue (Download) HAPA .

Taarifa hii inawahusu wanufaika wote wa mwaka wa tatu ikiwa na lengo la kumfanya mnufaika  kujua kiwango cha fedha kutoka bodi ya mikopo alichopangiwa kwa mwaka wa masomo 2018/2019.

Pia kwa wale wanufaika waliopo field kuna ambao wanapata na wasiopata kama hakuna unachokijua tafadhali wasiliana na wizara kwa namba hii ya simu +255 713 581 350

NB NI MUHIMU KILA MNUFAIKA AHAKIKISHE ANAPOKEA KIASI GANI CHA MKOPONA MJUE KABISA KILA MTU KIWANGO CHAKE KABLA ZOEZI HALIJAANZA KUFANYIKA

BOFYA HAPA KUONA MAJINA HAYO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *