Pongezi

Millah Mng'ong'o

Makamu MKuu Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka atoa pongezi kwa serikali ya wanafunzi (MUSO) kwa kufanikisha sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2018/2019.