Mahafali ya 18 Chuo Kikuu Mzumbe kampasi kuu yafanyika
Mahafali ya 18 ya wahitimu kwa ngazi zote za elimu Chuo Kikuu Mzumbe yamefanyika jana tarehe 22/11/2019. Mahafali haya yamefanyika Kampasi kuu ya Chuo kikuu Mzumbe na kuhudhuliwa na Mgeni rasimi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Read more