Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa siku nne kwa waombaji waliokosea Taarifa zao kwa mwaka 2019/2020, Kuzirekebisha

Bodi ya Mikopo ya  Elimu ya Juu (HESLB) leo tarehe 29/09/2019, imetoa orodha ya majina ya waombaji  waliokosea kujaza Taarifa zao, na kuwataka kuzituma taarifa hizo upya, ndani ya siku nne (4) kuanzia tarehe 30/09/2019 mpaka tarehe 03/10/2019. Bonyeza hapa kupakua Orodha ya majina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *