Bunge la serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe Limepitisha rasmi Bajeti ya Mwaka 2018/2019 ya Serikali ya wanafunzi MUSO. Bajeti hii iliyojadiliwa na Bunge kwa Muda wa siku Mbili (2) kuanzia tarehe 7/9/2019 mpaka tarehe 8/09/2019 hatimaye Bunge liliweza kupitisha bajeti hii na kupewa baraka na kiti cha Spika wa Bunge Mh. Abraham Pamba tayari kwa kuanza utekelezaji wa Mipango Mbalimbali ya Serikali. Spika wa Bunge alisisitiza utekelezaji wa mipango ya serikali iliyopitishwa kwa uwazi na ufanisi.
Bunge La Serikali ya Wanafunzi MUSO lapitisha Bajeti Rasmi ya Mwaka 2019/2020

Good job
Thank you very much