Serikali ya Wanafunzi (MUSO) yafanikisha kupunguza gharama za Bima ya Afya kwa wanafunzi
Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe (MUSO) kupitia Wizara ya Habari, Teknolojia na Mawasiliano na Michezo inapenda kuwatangazia Wanafunzi wote kuw…
Mzumbe University Student's Organization
Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe (MUSO) kupitia Wizara ya Habari, Teknolojia na Mawasiliano na Michezo inapenda kuwatangazia Wanafunzi wote kuw…
Serikali ya Wanafunzi Chuo kikuu mzumbe (MUSO) kupitia Wizara ya Habari, Teknolojia na Mawasiliano na Michezo, inapenda kuwatangazia wanafunzi wote kuwa……
Mahafali ya 18 ya wahitimu kwa ngazi zote za elimu Chuo Kikuu Mzumbe yamefanyika jana tarehe 22/11/2019. Mahafali haya yamefanyika Kampasi kuu ya Chuo kikuu Mzumbe na kuhudhuliwa na Mgeni rasimi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Read more
Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe (MUSO) Kupitia Wizara ya elimu na Mikopo, inapenda kuwatangazia Wanafunzi wote ambao walituma maombi kwenda Bodi ya Mikopo (HESLB) kuwa…
Serikali ya Wanafunzi (MUSO) kupitia Wizara ya Elimu na Mikopo inapenda kuwatangazia Wanafunzi wote ambao baada ya…
Chuo kikuu Mzumbe chatoa Majina ya awamu ya tatu kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Mzumbe kwa ngazi ya Shahada (Bachelor) kwa mwaka wa masomo 2019/2020. bonyeza hapa kupakua majina
Baraza hili la Wanafunzi limefanyika katika Ukumbi wa Samora tarehe 21/09/2019, likiongozwa na Rais wa Serikali ya Wanafunzi 2019/2020 Mh. Mzakiru twalibu pamoja na katibu Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi Bi. Winfrida Gavana. Baraza lilihudhuliwa na wanafunzi kutoka shule na Read more
Kikao cha baraza la wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe, kinatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi Tarehe 21/09/2019 katika Ukumbi wa Samora kuanzia…
Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu mzumbe kupitia wizara ya Elimu na maswala ya Mikopo inapenda kuwatangazia wanafunzi wote kuwa Soma zaidi…
Bunge la serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe Limepitisha rasmi Bajeti ya Mwaka 2018/2019 ya Serikali ya wanafunzi MUSO. Bajeti hii iliyojadiliwa na Bunge kwa Muda wa siku Mbili (2) kuanzia tarehe 7/9/2019 mpaka tarehe 8/09/2019 hatimaye Bunge liliweza kupitisha Read more