Skip to content
  • Home
  • Our Gallery
  • News & Update
  • Suggestion Box
  • Login / Sign up
  • About us
  • Contact Us
News:
Serikali ya Wanafunzi (MUSO) yafanikisha kupunguza gharama za Bima ya Afya kwa wanafunzi
Ziara ya Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, kwa kampasi zote za Chuo Kikuu Mzumbe kuanza Februari 03-10, 2020
Mahafali ya 18 Chuo Kikuu Mzumbe kampasi kuu yafanyika
Taarifa Muhimu Kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)
Serikali ya wanafunzi MUSO kuwasaidia wanafunzi Waliofutiwa usajili
  • Login / Sign up
  • About us
  • Contact Us

MUSO

Mzumbe University Student's Organization

  • +255 (0)755 422 199 muso@mzumbe.ac.tz
  • Mzumbe University Morogoro - Tanzania
  • Home
  • Our Gallery
  • News & Update
  • Suggestion Box
  • Home
  • News & Update
  • News

Category: News

Feb 04

Serikali ya Wanafunzi (MUSO) yafanikisha kupunguza gharama za Bima ya Afya kwa wanafunzi

Frank MsongeLeave a commentNews

Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe (MUSO) kupitia Wizara ya Habari, Teknolojia na Mawasiliano na Michezo inapenda kuwatangazia Wanafunzi wote kuw…

Feb 01

Ziara ya Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, kwa kampasi zote za Chuo Kikuu Mzumbe kuanza Februari 03-10, 2020

Frank MsongeLeave a commentEvent, News

Serikali ya Wanafunzi Chuo kikuu mzumbe (MUSO) kupitia Wizara ya Habari, Teknolojia na Mawasiliano na Michezo, inapenda kuwatangazia wanafunzi wote kuwa……

Nov 23

Mahafali ya 18 Chuo Kikuu Mzumbe kampasi kuu yafanyika

Frank MsongeLeave a commentEvent, News

Mahafali ya 18 ya wahitimu kwa ngazi zote za elimu Chuo Kikuu Mzumbe yamefanyika jana tarehe 22/11/2019. Mahafali haya yamefanyika Kampasi kuu ya Chuo kikuu Mzumbe na kuhudhuliwa na Mgeni rasimi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Read more

Sep 24

Taarifa Muhimu Kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)

Frank MsongeLeave a commentNews

Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe (MUSO) Kupitia Wizara ya elimu na Mikopo, inapenda kuwatangazia Wanafunzi wote ambao walituma maombi kwenda Bodi ya Mikopo (HESLB) kuwa…  

Sep 23

Serikali ya wanafunzi MUSO kuwasaidia wanafunzi Waliofutiwa usajili

Frank MsongeLeave a commentNews

Serikali ya Wanafunzi (MUSO) kupitia Wizara ya Elimu na Mikopo inapenda kuwatangazia Wanafunzi wote ambao baada ya…

Sep 22

Chuo Kikuu Mzumbe Chatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kwa Ngazi ya Shahada Awamu Ya Tatu 2019/2020

Frank MsongeLeave a commentNews

Chuo kikuu Mzumbe chatoa Majina ya awamu ya tatu kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Mzumbe kwa ngazi ya Shahada (Bachelor) kwa mwaka wa masomo 2019/2020. bonyeza hapa kupakua majina

Sep 20

Baraza la Wanafunzi chuo Kikuu Mzumbe Kufanyika siku ya Jumamosi Tarehe 21/09/2019

Frank MsongeLeave a commentNews

Kikao cha baraza la wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe, kinatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi Tarehe 21/09/2019 katika Ukumbi wa Samora kuanzia…

Sep 18

Dirisha la kukata rufaa ya matokeo ya mitihani lafunguliwa rasmi tarehe 17/09/2019 mpaka tarehe 30/09/2019

Frank MsongeLeave a commentNews

Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu mzumbe kupitia wizara ya Elimu na maswala ya Mikopo inapenda kuwatangazia wanafunzi wote kuwa Soma zaidi…

Orientation Date For Non-Degree programmeOctober 15, 2019

Informations

Box 1, Mzumbe,
Morogoro- Tanzania
+255 (0) 758878787
muso@mzumbe.ac.tz
working days: Monday- Sunday
Working Hours: 8am-4pm

Our Mission

The Mission of MUSO is to assist and support University in providing opportunities for acquisition, development, preservation and dissemination of knowledge and skills through training, research, technical and/or professional services.

Our Visions

Mzumbe University Student organization is recognized as most important organization within and outside the University for influencing in demand driven knowledge generation, application, preservation and dissemination for social-economic development by 2025.

Core Values

The building of a cohesive and binding organizational culture is a fundamental pre-requisite for the sustainable development of the University. The following are the core values which guides Mzumbe University’s organizational culture.

Quick Links

  • About University
  • Our Library
  • Heslb
  • TCU
Copyright ©MUSO 2019 | All rights reserved