Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka aipongeza serikali ya wanafunzi.

Millah Mng'ong'o

Menejimenti ya chuo ikiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka aipongeza serikali ya wanafunzi kwa kufanikisha vyema sherehe ya ukaribisho wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza (freshers) 2019. Katika sherehe hiyo mgeni rasmi alikuwa mhitimu wa chuo Kikuu Mzumbe Mhe. Hussein Bashe ambaye pia ni mbunge wa Nzega.